Jiandikishe kwa kozi ya ETE
Jaza fomu hii na tutawasiliana nawe. Kozi na ujumbe si lazima – mengine tunayahitaji ili tuweze kukufungulia akaunti.
Hatua tatu
- 1
Chagua jinsi utakavyosoma
ETE ya kawaida kwa kitabu kilichochapishwa, au ETE mtandaoni kwa simu yako. Njia zote mbili zinafundisha kitu kile kile.
- 2
Jaza fomu
Tunahitaji kujua dayosisi na jimbo lako, ili tukuweke katika kikundi sahihi.
- 3
Tunakufungulia akaunti
Milton Mbosa atafungua akaunti yako na atawasiliana nawe. ETE husomwa katika kikundi – kama hakuna kikundi katika usharika wako, tutakusaidia kuanzisha kimoja.
Huwezi kujifungulia akaunti mwenyewe. Baada ya kupokea maombi yako, msimamizi wetu Milton Mbosa atakufungulia akaunti kwenye student.teeonline.academy na atawasiliana nawe kukupa majina yako ya kuingia.
Je, tayari wewe ni mwanafunzi?
Ingia hapaUna maswali kwanza? Wasiliana nasi.